Deuteronomy 10:12-13

12 aNa sasa, ee Israeli, Bwana Mwenyezi Mungu wako anataka nini kwako ila kumcha Bwana Mwenyezi Mungu wako, kwenda katika njia zake, kumpenda na kumtumikia Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote, 13 bna kuyashika maagizo ya Bwana na amri zake ninazokupa leo kwa mafanikio yako mwenyewe?

Copyright information for SwhKC